Dalili za mimba ya mapacha Zifuatazo ni dalili za mimba ya mapacha kwa Akina mama: 1. Kutapika 2. Kichefuchefu 3. Kukosa hezi 4. Tumbo kua Kubwa 5. Matiti kujaa Hizi ni baadhi tu ya dalili za mimba ya mapacha #mimba #dalilizamimba #dalilizamimbayamapacha