Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa hakuna mgombea yeyote atakayepata cheti cha uteuzi wa kuwania kiti chochote bila kuidhinishwa na wananchi.
Akiwa katika ziara ya kudhibiti ngome ya jubilee katika kaunti ya Kiambu, rais Kenyatta amemkosoa kiongozi wa Odm Raila Odinga kwa kuwapa wagombea mia nane vyeti vya uteuzi bila ya wao kupitia mchujo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!