Tangu Ningali Mimba ni wimbo mmojawapo katika mlolongo wa nyimbo 10 zinazounda albamu toleo la kwanza la Kwaya yetu inayoitwa Tumwimbie Mungu. Maudhui yake kwa ujumla yamelenga kumshukuru Mungu kwa kutupatia karama mbalimbali kwa utashi na mapenzi yake kwetu sisi wanadamu na akilifanya hilo tangu hata hatujazaliwa. Vilevile kumuomba Mungu basi atanglizane nasi na kutuongoza vema kuziishi na kuzifanyia kazi karama alizoweka ndani yetu tangu tukiwa tumboni mwa mama zetu.
Umeimbwa vema na Kwaya ya Mt.John Bosco maarufu kama Kwaya ya Vijana kutoka katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya MWAMBANI, Jimbo Kuu la Mbeya, makao makuu ya Kwaya yakiwa ni katika mji wa Mkwajuni wilayani Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu umetungwa na Mtunzi ambaye Bwana wetu alishampenda na kumwinua kwake Marehemu Joackim Jerome. (Mungu ampe pumziko la milele)
Mpiga Kinanda: CY. Luseba (0762265245)
Audio & Video imefanywa na Tanganyika Production kutoka Dodoma (0762380376, 0765449914)
Step Master: Joseph Zungumaji (0757761764)
Tufikie sisi kupitia
Youtube: Kwaya ya Mt. John Bosco, Mkwajuni, Mwambani
Facebook : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Instagram: kwaya_mtjohnboscomkwajuni
Audiomack : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Email: kwayayamtjohnboscomkwajuni@gmail.com
Kwa mahitaji ya DVD au Flash za albamu hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko,Parokia ya Mwambani
0786 741 581 - M/kiti wa Kwaya
0768 886 884 - M/kiti wa Kamati ya recording/shooting
Karibu sana
Ещё видео!