Hivi ndivyo Ramadhan Bonysela alivyomshinda Charles Ngange kwa pointi, pambano la raundi nane…
Lilikuwa ni pambano la nne katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
#NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa
Ещё видео!