Habari fupi kuhusu Oprah:
Kati ya watu 2,043 ambao wameorodheshwa kuwa mabilionea duniani katika orodha ya Forbes yam waka huu, ni watu 10 pekee ambao ni weusi na Oprah ni mmoja wapo.
Oprah anadhitisha kwamba wanawake na wanaume kwa pomoja, tunaweza kuleta mabadiliko na kila mmoja wetu anaweza kuwa na mchango mkubwa duniani kwa sababu amesaidia watu wengi na amefanikiwa sana.
Oprah amefanikiwa sana kupitia kufanya kipindi chake mwenye , embu jifunze kitu kupitia safari yake ya mafanikio.
0:10 Maneno ya Oprah
1:01 Jina lake la kweli
1:11 Historia ya Oprah
2:23 Kilichomsaidia : Mapenzi na Kazi
2:54 Kuuza kwa malengo
3:44 Jifunze pale ulipofanya vizuri
4:03 Una malengo gani?
SUBSCRIBE kwenye channel yangu : [ Ссылка ]_...
Tuchati kidogo:
Whatsapp: +255748617176
Instagram:[ Ссылка ]
Faceebook: [ Ссылка ]
Jifunze Jinsi ya Kuwa na Mikakati Mizuri na Dangote:
[ Ссылка ]
Ещё видео!