#DarDerby “…..hakuna anayependa kupoteza lakini inabidi tukubali…hii ni sehemu ya soka”.
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi anasema kilichomgharimu ni kadi nyekundu lakini pia kipindi cha pili wamecheza vizuri zaidi ya Azam licha ya kuwa pungufu….
Naye kocha wa Azam FC, Rachid Taousi anaeleza furaha yake kuwa timu ya kwanza kufunga goli dhidi ya yanga anautoa ushindi huu kama zawadi kwa mashabiki na bosi wao…
Mchezaji bora wa mchezo huu ni kiungo wa Azam FC, Adolf Mutasingwa na anakabidhiwa tuzo yake kutoka Benki ya NBC.
FT: Yanga 0-1 Azam
Ещё видео!