Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, CDF Jenerali Jacob Mkunda amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupanua wigo wa uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo ikiwemo kujikita kwenye miradi mikubwa yenye ushindani na yenye tija kubwa zaidi kwa taifa.
Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kituo cha kuuza mafuta kinachomilikiwa na jeshi hilo kilichopo Kawe, Dar es Salaam.
Ещё видео!