Chuo cha ufundi Arusha kimeanzisha ushirikiano na taasisi mbalimbali kama TEMDO, Chuo Cha sayansi Nelson Mandela na TAHESA kwa lengo la kuwanoa wanafunzi kujifunza wakiwa chuoni ili kuziba pengo la kuulizwa uzoefu ili waajiriwe wanapohitimu masomo yao.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
HabariLeo: [ Ссылка ]
DailyNews: [ Ссылка ]
INSTAGRAM;
HabariLeo: [ Ссылка ]...
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: [ Ссылка ]
Ещё видео!