Leo ni siku muhimu katika uchaguzi mkuu wa Marekani 2020, siku inayoitwa Super Tuesday.
'Ni nani anayeweza kumshinda Donald Trump na kuwa rais ajaye wa Marekani ?”
Hilo ndio swali wanasiasa wa chama cha Democrats nchini Marekani watakua wanajiuliza katika 'Super Tuesday'
#SuperTuesday
#Democrats
#Uchaguzimkuumarekani2020
Ещё видео!