WAZIRI KABUDI APIGA SHANGWE MBELE YA MAGUFULI - "WAMESHINDWA"
Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 14, amepokea Ndege mpya ya Tanzania (Bombardier Q400) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada ilipoanza safari kuja nchini baada ya kuachiwa.
Ndege hiyo imepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwanza.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:
[ Ссылка ]...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
[ Ссылка ]...
GLOBAL RADIO TV:
[ Ссылка ]...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
[ Ссылка ]
Ещё видео!