Dalili za Mimba ya miezi 8
hufanana na dalili za Mimba ya miezi 7 bonyeza link hapa chini ili kujua Dalili za miezi saba.
[ Ссылка ]
Mimba ya miezi 8 inaweza kuwa na dalili kama.
1. Kuwa na kiungulia.
Sababu za kiungulia kwa wajawazito na jinsi ya kupunguza athari au dalili zake.
[ Ссылка ]
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
👇👇👇👇 [ Ссылка ]
2. Mama Mjamzito kuendelea kuwa na choo kigumu.
Njia za kujikinga na choo kigumu katika kipindi cha ujauzito
[ Ссылка ]
3.Kukojoa Mara kwa Mara huongezeka.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
👇👇👇👇 [ Ссылка ]
4.Mabadiliko ya Mood huendelea kuwepo.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
👇👇👇👇 [ Ссылка ]
5. Hali ya Kushindwa kupumua hupungua.
6. Maumivu ya kiuno na sehemu ya chini ya tumbo ya kubana na kuachia.
Dalili za miezi saba bonyeza hap chini.
[ Ссылка ]
7. Kuvimba kwa miguu
Wakati mwingi Mama anaweza kuwa na Dalili za kutokwa na Maji ukeni kidogo kidogo au mengi kwa wakati mmoja huonesha kuwa chupa imepasuka inawezekana kwa sababu ya wadudu au lah,
Dalili za uchungu bonyeza link hapa chini.
[ Ссылка ]
Lakini pia mama anaweza kuwa na dalili za kutokwa na damu pasipo maumivu au ikiwa na maumivu.
NB;Ukiwa unaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).
Subscribe,Comment and Share
JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
youtube.com/c/Dr.Mwanyika
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.
#AfyaBora
#JapideAfya_Services
#Mimba(8).
Ещё видео!