Moshi.Mgombea Ubunge Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema, Raymond Mboya leo amechukua fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Moshi mjini, Michael Mwandezi kuomba kuteuliwa na tume ya uchaguzi (NEC) kuwania ubunge.
Mboya amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu katika jimbo hilo akitanguliwa na mgombea wa chama cha Sauti ya Umma (Sau), Isack Kireti aliyechukua fomu jana.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Mboya amesema Sau kina mtaji wa kuwaletea maendeleo wananchi.
Ещё видео!