Yanga SC imeendeleza ubabe kwenye ligi kuu ya NBC kwa kuitandika Kagera Sugar baoa 1-0 ugenini kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Goli pekee la Yanga lifungwa dakika ya 18 na kijana Clement Mzize aliyepandishwa kutoka timu ya vijana ya U20, huku golikipa Djigui Diarra akiokoa penati ya Erick Mwijage dakika ya 70.
Ещё видео!