WAFANYABIASHARA KARIAKOO - "TUNAKUOMBA Rais SAMIA SIKIA KILIO CHETU, TUNAFAMILIA ZINATUTEGEMEA"...
Wafanyabiashara za kuuza kanzu na bidhaa nyingine za huduma za ibaada wa eneo la barabara inayopita lango kuu la Msikiti wa Mtoro uliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam wamemuomba Mhe. Rais Samia kuingilia kati juu ya sakata hilo ambalo wamedai kuwa wameletewa notisi ya kuondoka eneo hilo na wamedai madai hayo yametokana na baada ya ukarabati uliofanyika hivi karibuni wa kuwekewa lami eneo hilo.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 [ Ссылка ]
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
Ещё видео!