#lyrics #Navutishwa #bien #bensoul #thelionofSudah
#lyricsvideo #trending
SUPPORT ARTIST ::
follow bensoul on
Instagram: [ Ссылка ]=
spotify:
[ Ссылка ]
follow bien on Instagram:
[ Ссылка ]=
spotify:
[ Ссылка ]
STREAM NAVUTISHWA ::
[ Ссылка ]
STREAM ALBUM ::
[ Ссылка ]
LYRICS::
Navutishwa oh navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa oh navutishwa
Naishi kama paka nalishwa
Navutishwa oh navitishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa oh navitishwa mama
Navutishwa oh navitishwa mama
Msosi delivery
Pombe kemikali
Mapenzi halali eh (Mapenzi legit)
Nilikuwanga silali
Hapo awali
Ka Nairo hakuna amani ah
Her coochie’ on fire
Can’t deny
Mguu zake unzunguka kama tyre
Aki bend over
Ni game over
Uanga nasosi mpaka naitisha saucer
Nakulishwa eh (matamu ya roho )
Naogeshwa eh (oh mamu)
Ngotha mbichi navalishwa eh
Kidogo tu nyonyeshwe (kemikal )
Dredi zangu zisokotwe
Shingo nimassagiwe (uuu wuehh)
Nasanifiwa
Narolliwa
Kisha navutishwa
Navutishwa oh navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa oh navutishwa
Naishi kama paka nalishwa
Navutishwa oh navitishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa oh navutishwa mama
Navutishwa oh navutishwa mama
(Navutishwa navutishwa mama)
Kuamka kung’ara na kukaa tu
Kula mahaba ya kistaarabu
Natabasamu bila sababu
Kitandani nafunzwa adabu
Kukaa kukaliwa
Kulala kulaliana na kulaliwa
Maisha ya gorofa
Nikitoka kitandani naruka kwa sofa
Wifi imelipiwa eh
Ndekezwa eh
Upara napapaswa eh
Nabembelezwa eh
Natulizwa eh
Uso nakaliwa
Nasanifiwa
Narolliwa
Kisha navutishwa eh Mama…
Navutishwa oh navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa oh navutishwa
Naishi kama paka nalishwa
Navutishwa oh navitishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa oh navitishwa mama
Navutishwa oh navitishwa mama
(Navutishwa navutishwa mama)
Ещё видео!