TANROADS ni kazi kazi, ''Tunamshukuru Rais SAMIA kwa kutuletea miradi hii hapa Mbeya'' Eng: MATARI.
Serikali ya awamu ya sita kupitia TANROADS imeendeleza dhamira yake ya kuhakikisha inawaondolea Wananchi adha ya Usafiri, ambapo katika mkoa wa Mbeya iko mbioni kukamilisha miradi mitatu mikubwa ya Maendeleo ikiwemo kumalizia upanuzi na ukarabati wa Uwanja wa ndege wa Mbeya ‘’SONGWE AIRPORT’’ na kuanza ujenzi wa barabara ya njia nne ambayo ni sehemu ya barabara yenye urefu wa Kilometa 218 kutoka Igawa kwenda Tunduma.
Ещё видео!