Msemaji wa simba ahmed ally ameweka wazi kuhusu mkataba WA pacome zouzoua mchezaji wa yanga kwamba anamaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu na hana mpango wa kuongeza na wao kama simba wanafatilia kiwango chao kama kitawaridhisha basi wata msajili
#ahmedally #pacomezouzoua #yangaleo #simbaleo #alikamwe #herissaidi #shortvideo
Ещё видео!