Mtoto wa mwezi mmoja ni miongoni mwa waliookolewa kutoka kwenye maji ya mafuriko yaliyotokea nchini Ufilipino wakati kimbunga kikali Rai kilipopita na upepo wa kasi ya 195mph, mvua kubwa na mafuriko.
Maafisa ulinzi wa Pwani ya Ufilipino walimtoa mtoto huyo akiwa ndani ya beseni kumtoa katika maji ya mafuriko.
#bbcswahili #kimbunga #ufilipino
Ещё видео!