Sayansi inaeleza kuwa dawa za kufubaza makali ya vvu yaani ARVs zinauwezo wa kushusha kwa kiasi kikubwa idadi ya virusi vya ukimwi mwilini na kumfanya mviu asiwe na uwezo wa kumwambukiza mtu mwingine.
Tofauti na miaka ya zamani, hivi sasa wanandoa au wenza wanaweza kuishi pamoja lakini kati yao mmoja wapo akawa na maambukizi lakini asimwambukize mwenza wake
Ещё видео!