Kwa videos zaidi / for more videos 👇🏼 [ Ссылка ]
Sponge Cake Ingredients :-
1. All purpose flour 1 cup ( 120 grams )
2. Sugar 1/2 cup ( 90 grams )
3. Cooking oil 1/2 cup ( 120 mls )
4. Milk 1/2 cup ( 120 mls )
5. Eggs 2
6. Vanilla essence 1 tablespoon
7. Baking Soda 1 tablespoon
Sponge Keki mahitaji :-
1. Unga wa ngano kikombe 1 ( 120 grams )
2. Sukari nusu kikombe ( 90 grams )
3. Mafuta ya kupikia nusu kikombe ( 120 mls )
4. Maziwa nusu kikombe ( 120 mls )
5. Mayai 2
6. Vanilla Essence kijiko 1 cha chakula
7. Baking Soda kijiko 1 cha chakula
Ещё видео!