Makala haya yanaangazia historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambalo Septemba 1, 2024 lilitimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964, baada ya kuvunjwa kwa lilokuwa Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles) kufuatia maasi ya kijeshi ya Januari 1964.
Makala haya yanahusisha utafiti wa wanahistoria mbalimbali na simulizi za wanazuoni pamoja na kumbukumbu mbalimbali zilizopo kupitia vyombo vya habari na nyaraka mbalimbali zilizowekwa wazi.
Hivi hapa vyanzo vya kiutafiti vilivyotumika:
Godefroy, Andrew B. (2002) "The Canadian Armed Forces Advisory Training Team Tanzania 1965–1970," Canadian Military History: Vol. 11 : Iss. 3 , Article 4.
Development as Rebellion: A Biography of Julius Nyerere (2020). Saida Yahya-Othman, Ng'wanza Kamata and Issa G. Shivji.
The Tanzanian People’s Defense Force: an Exercise in Nation-Building (2012). Charles Girard Thomas
Old Comrades and New Brothers: A Historical Re-Examination of the Sino-Zanzibari and Sino-Tanzania Bilateral Relationships in the 1960s (2014). Alicia N. Altorfer-Ong.
Mlinzi Mkuu Wa Mwalimu Nyerere, ISBN: 9789987753321 (2016). Peter D.M. Bwimbo
Shukrani
Ng'wanza Kamata
Mohemed Said
Muongozaji & Utafiti
Joel Ntile
Mhariri Video
Joseph Kirati
Sauti
Shafii Musa
Picha
Jackson Noah
Stephan Gimbi
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: [ Ссылка ]
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
TIKTOK: [ Ссылка ]_...
Au tembelea tovuti yetu: [ Ссылка ]
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Ещё видео!