Serikali imeziagiza taasisi za ukaguzi wa ubora wa viwanda pamoja na taasisi zinazosimamia maslahi ya wafanyakazi kufanya kazi kwa pamoja ili kuondoa msongamano unaopunguza muda wa kazi kwenye maeneo husika.
Naibu waziri wa kazi ajira na vijana Patrobas Katambi ameyasema hayo mkoani Kilimanjaro alipotembelea kiwanda cha sukari cha TPC.
Ni katika utilianaji sahihi mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi na uongozi wa kiwanda hicho kikongwe cha sukari kilichoanzishwa tangu mwaka 1939 na chama cha wafanyakasi cha TASIWI.
Ещё видео!