Maafisa wa serikali na elimu wamefanya ziara katika shule ndani ya msitu wa Boni, kutathmini hali ya masomo na wanafunzi waliorejea hadi sasa. Lakini kama Rahma Rashid anavyoarifu, yaliyo dhahiri katika shule eneo hilo ni ugumu wa maisha unaowakabali wanafunzi hao, kwenye msitu huo unaoaminika kuwa ngome ya wanamgambo wa Al Shabaab
Ещё видео!