Wazazi na wanafunzi wamemiminika kwenye vituo vya mabasi kuelekea shuleni baada ya mapumziko ya siku kumi na moja. Wanafunzi wanarejea shuleni kwa muhula wa pili. Uchunguzi uliofanywa na shirika la KBC unabaini kuwa usafiri ni changamoto kuu baada ya magari ya uchukuzi kuongeza nauli.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #ThisIsKBC #News
Ещё видео!