Salmin Swaggz - DESTINY ft. Gosby (Official Audio)
LYRICS:
Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Fake nimeweka kando, na wakinicheck sina bando,
Wakija nyumbani nawaeka kwa jirani wasije kunitoa chambo,
Vichekesho mi si Bambo, pata pesa uone vitambo
Au fukuza mama nyumbani ndo uone vituko vya mama wa kambo,
Basically i’m taking everything up and nothing you niggas can tell me,
Wakiona baraka inamiminika wanabonga, ukidunda hawasemi,
Maisha magumu ndo maana nasaka kinoma ili nife kiboss
Pato kidogo nakata niitume kwa mama nifute mikosi,
So ntaimba hennessy hennessy, na watoto beneti, beneti
Sitaki urafiki hauna benefit, goals nimeweka mbele shit,
The force is pullin’ me close, I’m spending my money on stima na clothes
Rappers wanaumwa nakuja na dose, ni kama corona they fully exposed
Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Kwanza nipe pole na safari nilipotoka ujue ni mbali
Nikipata kitu nasali, kama hatujuani mikausho mikali
So ukinikuta tu na pisi kali, usije ukataka habari
Wauni wako fiti kwa shari, wauni wamechoka utapigwa uwe chali,
Mimi ni crush wa kila mitaa, jamaa, na sijakata tamaa,
You niggas you lie, i’m better kwa kila design,
Pesa zikwapi nisign, taking everything mine,
Kwenye zile thin line za love they’re hating,
Ka mziki ni shule nna vyeti, they prolly be checking the ratings,
Mi amor mi amor, bado mi nasaka dow,
Nisiwe wa mwisho, no, hatuwezi kutubu no more,
Hustle zimeshanipa roho chafu nahitaji sabuni ya roho,
So mpaka nashuka below, yeah
Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Connect with Salmin Swaggz:
Instagram: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Spotify: [ Ссылка ]
Soundcloud: [ Ссылка ]
#SalminSwaggz #Gosby #DESTINY #AmmyWaves
Ещё видео!