Rais Uhuru Kenyatta ametetea maendeleo ambayo serikali yake imepiga katika muda walioshirikiana na kinara wa ODM Raila Odinga. Rais akirusha cheche na kuwakashifu viongozi wanaoegemea upande wa naibu rais william ruto kwa matamshi yao kuwa urafiki huo ulikuwa umesambaratisha mpango waliokuwa nao kama serikali ya Jubilee.
Ещё видео!