Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo mpya wa Usajili wa watu kwa njia ya mtandao ambao utawawezesha waombaji wenye sifa kujisajili na kuweza kupata Kitambulisho cha Taifa bila kufika katika Ofisi za Mamlaka hiyo.
Akizungumzia Mfumo huo mpya Msemaji wa NIDA, Geofrey Tengeneza amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza msongamano katika ofisi za mamlaka hiyo na kutoa wigo mpana wa kujisajili.
#tehama #NIDA #kitambulishochataifa #usajili #njiayamtandao #mamlaka
Ещё видео!