MIAKA 5 YA MAGUFULI: DC ATAJA MAAJABU ALIYOYAFANYA WILAYA YA KINONDONI...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, amesema kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, wilaya yake imetekeleza miradi mingi kwa kutumia mapato ya ndani na fedha kutoka Serikali Kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Chongolo amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yenye majimbo mawili, kuanzia Juni 20 hadi 21, mwaka huu itakayohusisha ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayoenda sambamba na utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT AMAZON: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!