#jana #Buki #hitsong
Produced by Morebeatz & GopaBeatz
For Bookings:
Contacts -- bukimanagement@gmail.com
mailtevinci@gmail.com
Connect With Buki On:
Instagram: [ Ссылка ]
Tiktok: [ Ссылка ]
Listen on other Platforms:
Spotify: [ Ссылка ]
Apple Music: [ Ссылка ]
Boomplay: [ Ссылка ]
Audiomack: [ Ссылка ]
Lyrics:
Nimefunzwa na ngariba
Nguzo ya mapenzi tabasamu
Njoo nikupe kauli za Huba
Za pwani mimi mzaramu
Nimeumbiwa mahaba
Kucheat cheat Haramu
Kwenye mali mahamuma
Ila mapenzi imamu
Kama unanipenda
Ninunulie zeze aaah
Nikilala kitandani Aah
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze aah
Wendo wangu wahubani aaah
Pendo limenilegeza aaaanha
Jana nililala nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi mpenzi utaniumiza
Jana nililala nikakuota
Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you Nyang’anyang’a X2
Bora nitoke machozi
Nikiwa kando yako
Kuliko nienjoy mimi
Mbali nawe
Bora hata ukonde mwili
Nikiwa kando yako
Kuliko ninawiri mimi
Mbali nawe
Uuuuuuh uuh
Raja ko Rani se pyaar Ho Gaya(राजा को रानी से प्रेम हो गया)
Uuuuuuh uuuh
Mseme musiseme nimezamia
Aaaah aaah
Lalalilalilalah siwezi ongea
Haya kwangu ni mapya
Kanipania
Kama unanipenda aaah ninunulie zeze aanha
Nikilala kitandani
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze
We ndo wahubani
Pendo limenilegeza
Jana nililala
Nikakuota nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza Uuuuuh
jana nililala
Nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you
Nyang’anyang’a X2
Buki - Jana (Official Music Video)
Теги
millardayo updatesdiamondplatnumz ololufemiharmonize new songJay melodywasafi festivalmbosso ovaharmonize Nandyusemi sinazuchu antennaMisso Misondo - Tera Ghatatotoriminandy new songalikibaNadia kipepeobahati kenyaferooz bosilove song kenyalove songs TanzaniaLove songs ugandaMarioo unanichekeshaally kamweahmed aliyangasimbaexray taniua songssaru songBreeder lw songmatata songkariakooololufemi jux ft diamond video