Song No. 1 (GODLY REVERENCE INTERNATIONAL EXTENDED PLAYLIST)
Karibu ubarikiwe na wimbo ulioimbwa na Anointed singers Tz kwa lugha ya Kiswahili uitwao "PENDO LA AJABU"
Upendo wa Mungu kwetu ni mkubwa ajabu, na unashinda upendo mwingine wa aina yoyote
YOHANA 3:16 - 17
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
#AnointedSingersTz
#SwahiliSong
#GODLYrevelenceEP
#PendoLaAjabu
SONG CREDITS:
Artist: Anointed Singers Tz
Composer: Miriam J. Machage
Audio: @bjbrandstudios9818
Mixing & Mastering: @bjbrandstudios9818
Instrumentation Credits: MJ MUSIC CLASSICS
Video production: Anointed Production team
Directed By: Zeddy
_________________________________________________________________________
Email: sanointed6@gmail.com
Contact: +255 719 766 662 | +255 677 048 029
Ещё видео!