Jinsi ya kutengeneza Business Plan ya biashara ya wakala wa simu ni muendelezo wa mada za program zetu za Tan Business Channel
Unapotaka kuanzisha biashara ya wakala wa simu kuna mambo mengi muhimu unatakiwa utekeleze.
Huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza.
Unatakiwa uwe na Business Plan, ambayo ni dira itakayo kuongoza kuanzisha na kusimamia biashara ya wakala wa simu
Business Plan nzuri ni ile inayo kuongoza kuanzia mwanzo hadi pale utakapo anzisha biashara ya wakala wa simu
Business Plan pia inaweza kukusaidia kupata mkopo kutoka benki na fedha kutoka kwa wawekezaji au wahisani kwa ajili ya biashara ya wakala wa simu
Kwenye video hii tunaeleza jinsi ya kutengeneza Business Plan ya biashara ya wakala wa simu
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: [ Ссылка ]
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]
YouTube: [ Ссылка ]
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Ещё видео!