Je unafahamu ufadhili kwa kuzingatia ufaulu wa juu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (University of Dar es Salaam Merit Scholarship) ?
Kutana na Rosemary Kilembe mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na mnufaika wa Merit scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
#udsm #scholarships #udsmstudents #students #University #meritsscholarship #60years #academicexcellence #towards60yearsofacademicexcellence
Ещё видео!