“Uchaguzi wa Rais wa TFF wa mwakani unautaka wa nini, mkutano huu ukuthibitishe leo” maneno ya Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu akiwasilisha hoja yake akiwaomba wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TFF kumthibitisha Rais wa TFF Wallace Karia kuendelea kusalia katika nafasi yake.
#MkutanoMkuuWaMwakaWaTFF #AnnualGeneraMeeting #AGM #TFF
Ещё видео!