Ni msanii ambaye kwa mara ya kwanza ngoma yake Jembe fm ililetewa na msikilizaji kwa njia ya simu, kupitia kitengo cha muziki ilikuwa ni haraka sana kubaini sanaa ya ukweli iliyotumika katika kazi husika.
Ndipo hatua ya kumsaka Nkunda Star ikaanza ...kipindi hicho hatukujua hata jina la msanii kwani ilitumwa kwa whatssup bila jina ...ila ikajulikana tu kwamba dogo yuko shy ......ndani ya siku mbili tu mara baada ya tangazo la kumsaka .....jamaa alifunga safari hadi Mwanza studio za Jembe Fm.
Huko ndiko safari nyingine ya muziki wake ikaanza
Ещё видео!