Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge, ametembelea kiwanda cha kisasa cha uchinjaji na usindikaji wa nyama cha Tan Choice kilichopo Soga wilayani Kibaha mkoani Pwani, kwa lengo la kujifunza na kupata uzoefu utakaotumika kuboresha machinjio ya kisasa Vingunguti.
Facebook: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Subscribes: [ Ссылка ]
Ещё видео!