Kwa mara nyengine, polisi wamelaumiwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi wakati wa kukabiliana na waandamanaji katika eneo la mwiki, kasarani, kaunti ya nairobi. Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 aliuliwa baada ya kufyatuliwa risasi na polisi wakati wa makabiliano na waandamanaji jana jioni. Wakaazi wa mwiki wamekuwa wakiandamana kwa siku nne mfululizo wakitaka barabara ya mwiki kasarani kukarabatiwa
Ещё видео!