Kijiji cha Kamote, kilichoko El Molo Bay kaunti ya Marsabit ni mojwapo ya vijiji vinavyokabiliwa na hatari ya kufunikwa kabisa na maji ya ziwa Turkana yanayozidi kuongezeka kila uchao.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!