Wakristo tunaitwa, tujenge jumuiya ndogo ndogo za kikristo, ili kanisa lipate kujitegemeza kiuchumi na katika utumishi. Ni wimbo mzuri unaotutaka sisi waamini kujitoa kwa jumuiya zetu maana Jumuiya zetu ni umoja wa wabatizwa, ambao wamezaliwa kama watoto wa Mungu Baba, kwa njia ya Mwanae Yesu Kristo, na kumiminiwa Roho Mtakatifu.
Utunzi wake Marehemu Charles Crispin Saasita
Ещё видео!