Si rahisi kwa watu wenye ulemavu kupata ajira za kudumu hususani kusini mwa jangwa la sahara.
Lakini huko kasakazini mwa Tanzania kituo kimoja kimeamua kuajiri watu wenye ulemavu pekee katika uzalishaji wa biadhaa zao.
Mwandishi wa BBC Munira Hussein alitembelea kituo hiko na kuandaa taarifa hii
🎥 @eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #tanzania #arusha
Ещё видео!