SIRI MUJARABU YA AL-MUAWADHATAIN KATIKA KUTIBU UCHAWI WOWOTE | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri Adhimu na Mujarabu ya Surah Al-Falaq and An-Nas katika kutibu uchawi wa aina yoyote kwa uwezo wa Allah (SWT) haja zako zote. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah: AL-FALAQ NA AN-NAS
Ayah: KAMILI
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Fuata utaratibu wa kila faida iloelezewa ndani ya video hii ili ufaidike.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
*********************************************************************************
Ещё видео!