Mapenz ni ya wawili hata utie fitina vipi huwez kuyaharibu kila mtu ana chaguo la moyo wake we unaweza ukaona ni mbaya lakin kwa kua moyo wa mtu ukishapenda umependa.haya maneno yanajieleza katika wimbo huu wa #hidaya uliotoka 2009 kutoka kwa #pasha ilikua ni wimbo wa kwanza kutoka kama single baada ya kutoa albam ya #nisoo 2008
#pasha - #hidaya
Produced by Lil ghetto
Director Tonee blaze
For bookings:
Call:+255653597070
Email:paahamtepa1@gmail.com
Follow pashamtepa on
Instagram:[ Ссылка ]
Facebook:[ Ссылка ]
Ещё видео!