Karibu kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Nadhiri za Daima kwa Sr. Maria German Tarimo, Sr. Maria Winnie Degratius, Sr Maria Angelina Joseph, Sr. Maria Josephine Thomas na Sr. Rosemary Albert pamoja naJubilei ya Miaka 25 ya utawa kwa Sr Maria Dafrosa Clement, Sr. Maria Helena Alphonce na Sr. Maria Lilian Kapongo Mama Mkuu w Provisia ya Afrika Mashariki ya Shirika la Masista wa Mama Bikira Maria wa Mlima Karmeli.
Misa inafanyika katika Parokia y Mtakatifu Francisco Xsavery Chang'ombe Jimbo kuu la Dar es Salaam na inaadhimishwa na Mhashamu Jude Thaddeus Ruwai'chi OFM Cap Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam.
Matangazo haya yanaletwa kwako nami Geofrey Rweyunga Mwakilishi wa Radio Maria Tanzania Jimbo kuu la Dar es Salaam.
Radio Maria Tanzania
S.L.P 34573,
Mikocheni Industrial Area plot no. 125,
Barua pepe: info.tan@radiomaria.org
Wavuti: www.radiomaria.co.tz
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: Radio Maria Tanzania
Facebook Link: [ Ссылка ]
Instagram: Radio Maria Tanzania
Instagram Link: [ Ссылка ]
Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.
Ещё видео!