Ni Jambo kubwa na la kheri kushiriki Uzinduzi wa Jubilei ya Dhahabu Miaka 50 ya Jumuiya Ndogondogo Dekania ya Ukonga ambapo baada ya Misalaba Kubarikiwa na Dekano Padre Erasto Kamugisha C.P Maparoko waliwakabidhi Wenyeviti Parokia za Dekania hiyo ya Ukonga huku wakikumbushwa Ibada yake kufikishwa kwa kila Familia ya Waamini wa Dekania hiyo lakini pia ruksa kufikishwa kwa yeyote atakayeomba Wanajumuiya hao kwenda kusali Nyumbani kwake kwani Bwana wetu Yesu Kristo kaja kutukomboa wote, tumshukuru Mungu
Ещё видео!