#gospel songs, #nyimbo za injili, #gospel mix, #gospel music
Kumsifu Mungu kunawapasa wanyofu wa Moyo. Tutamsifu Mungu kwa kila hali, kwa vinanda, vinubi, kwa matari na Michezo. Kucheza mbele za Mungu ni kumrudishia sifa kwa yale yote makuu aliyoyatenda maishani mwetu.
Kila sifa njema yafaa mbele za Mungu.
Barikiwa kila unapoangalia na kusikiliza ujumbe huu, Mungu wa mbinguni azidi kukubariki.
Usiache kulike,share pia kusubscribe. Mazuri yanakuja usipitwe.
Ещё видео!