Watu wanaozaliwa wakiwa na nyeti za kiume na za kike maarufu huntha hupitia changamoto tele ikiwemo kutengwa na unyanyapaa wa kila aina. Hapa kenya kuna takribani watu elfu mia saba ambao wamezaliwa huntha. Mwanahabari wetu Caroline Obwamu amezungumza na baadhi ya watu hao kutoka kaunti ya kakamega na kuandaa makala maalum ya jamii ya huntha
Ещё видео!