#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KUMUOMBEA MAREHEMU PD.LUI BOTO NDAKIDEMI (1945-2024) PUMZIKO LA AMANI PAROKIA YA MTAKATIFU YOSEPH MUME WA BIKIRA MARIA-LONGUO MWENGE JIMBO KATOLIKI MOSHI
MISA TAKATIFU INAONGOZWA NA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI MOSHI MHA. ASKOFU LUDOVICK J. MINDE (ALCP/OSS)
#live #ibadahonline #kanisakatoliki #katolikimoshionlinetv #longuo #livestream #ibadahonline @katolikimoshionlinetv
Ещё видео!