Jumapili baada ya kusherehekea Utatu Mtakatifu huwa tunasherehekea Mwili na Damu Yake Yesu Kristu. Alhamisi kuu [ Ссылка ] Yesu Mwenyewe aliadhimisha Karamu ya Mwisho(Last Supper ) ambapo alitwaa Mwili wake kwa aji;i yetu na akatuamuru kufanya hivyo..."Huu ni Mwili wangu; kuleni nyote; Hii ni Damu Yangu; Kunyweni Nyote; Fanyeni hivi kwa kunikumbuka Mimi".
Ekaristia Takatifu ni Mwili na Damu Yake Yesu; NI YESU MWENYEWE KATIKA UMBO LA MKATE NA DIVAI. Kwa macho yetu hatuoni; lakini ni Yesu mwenyewe.
Hii ni Sakramenti ambayo husherehekewa mara nyingi. Katika Sakramenti zote saba; hii ndio ya kipekee Ambayo mkristu anapokea na kula. Sakramenti zile zingine hakuna kujongea kwenye meza.
Ещё видео!