Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) anakaribisha maombi ya kujiunga na chuo kwa Muhula wa Machi, 2023.
Usikose fursa hii adhimu ya kujiunga na chuo ili kupata ujuzi, kunoa na kukuza kipaji chako uweze kukubalika zaidi katika soko la ajira iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri mwenyewe.
#TaSUBaKwaMafunzoBoraYaSanaaNaUtamaduni
Ещё видео!