JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA
Changamoto kubwa inayolikabili bara la Afrika siyo umaskini , wala siyo uhaba wa rasilimali bali ni utumwa wa fikra. Fikra zetu zimekamatwa kiasi kwamba hatuwezi kuwaza nje ya misaada.
Heshima na ukarimu tunaompatia mzungu ni mkubwa kuliko waafrika wenyewe.Ukarimu wa mzungu unaanzia anapofika kwenye viwanja vyetu vya ndege.
#UKOLONIMAMBOLEO
[ Ссылка ]... [ Ссылка ]... Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!