#IPMMEDIA #Mambo7#tabiazamafanikio
Ili uweze kuishi maisha ya mafanikio, ni muhimu kwako kuishi maisha ambayo yanaendana mkabala na kile unachokihitaji katika maisha yako na sio kinyume chake. Haiwezekani kwako ukafanikiwa kama utaendelea kuishi kiholela, kuishi maisha ambayo hayakufikishi kwenye ndoto na malengo yako uliyojiwekea, halafu ukawa unadai mafanikio hiyo itakuwa sawa na kujidanganya wewe mwenyewe.
Ni muhimu sana kujua na kutambua kuwa ili tuweze kufanikiwa ni lazima kuacha tabia zetu za kale zilizotukwamisha na kufanya mambo ambayo yatatufikisha kwenye mafanikio ya kweli na sio kuturudisha nyuma. Unapofanya mambo haya, utajikuta unafanikiwa kwa sababu yatakupa hamasa ya kusonga mbele zaidi hasa katika kipindi hiki cha kujiandaa kuuanza mwaka mwingine.
Mafanikio, mambo7, tabia, mambo ya kuacha
2021
Mafanikio, mafanikio,
Ещё видео!